TAHADHARI
Kama Hujaona Sehemu Ya Kupokelea Mzigo Iliyo Karibu na Wewe...Ili Upate Mzigo

1.Unaweza Ukachagua Eneo Ambalo tuna Wakala Alaf una ndugu yako Yupo Maeneo Ya Karibu Ukamwagiza Akakuchukulia mzigo na akafanya malipo Badala Yako

2.Au Unaweza Kumwagiza Ndugu Yako Aliyepo Dar akaja kukuchukulia Ofisini Kwetu Akafanya Malipo

3.Unaweza Ukafanya Malipo Moja Kwa Moja Kwetu tukakutumia mzigo mpaka ulipo [NI UHAKIKA UTAPOKEA MZIGO WAKO ILA UTALIPIA 35,000/= TUU ]

ANGALIZO

Kama Hauna Ndugu Wa Kukuchukulia Mzigo Au Wa Kumwagiza Ofisini Dar Es Salaam na Hauwezi KULIPIA KABLA YA KUTUMIWA MZIGO

USISUMBUKE KUWASILIANA NA SISI ILI KUEPUSHA USUMBUFU USIO WA LAZIMA

KAMA UNAKUBALIANA NA MAELEKEZO YETU
WASILIANA NA SISI

0659839960